Mahakama yatupa maombi kufunguliwa Kanisa Dar
Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Duwani Nyanda akizungumza na viongozi wa Kanisa la Moravian Jimbo la Misheni Mashariki ambapo polisi walizuia ibada kufanyika jana katika Kanisa la Moravian Ushirika wa Tabata jijini Dar es Salaam kwa madai kuwa ingehatarisha amani kwa waumini hao. Picha na Pamela Chilongola.
Kwa habari zaidi bofya hapa.
Source Mwananchi Newspaper
No comments:
Post a Comment