Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By | Blog Gadgets Via Blogger Widgets

HABARI MBALIMBALI

Mahakama yatupa maombi kufunguliwa Kanisa Dar


Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi  wa Ilala, Duwani Nyanda akizungumza na viongozi  wa Kanisa la Moravian Jimbo la Misheni Mashariki ambapo polisi walizuia ibada kufanyika jana katika  Kanisa la Moravian Ushirika wa Tabata jijini Dar es Salaam kwa madai kuwa ingehatarisha  amani kwa waumini hao. Picha na Pamela Chilongola.
Kwa habari zaidi bofya hapa.
Source Mwananchi Newspaper

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...