Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By | Blog Gadgets Via Blogger Widgets

Monday, April 29, 2013

CHADEMA YAISAMBARATISHA CCM UCHAGUZI WA VIJIJI KILOSA




Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa.
Taarifa zilizoingia hivi punde (Alfajiri ya leo) zinasema katika uchaguzi wa Mkiti kijiji cha Kifinga CHADEMA imeshinda kwa kura 450 dhidi ya 150 za CCM.
Katika uchaguzi wa Mkiti wa Kitongoji cha Ruaha B CHADEMA imeibuka na ushindi wa kura 600 dhidi ya kura 250.

SOURCE: Mtandao wa kijamii wa Chadema

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...