KITUO CHA KWANZA KILIKUA KARAVAN SERAI, JAMAA YETU LAZIMA AKUKARIBISHE LAKINI NI MGUMU SANA KUTOA TABASAMU HATA UMCHEKESHE VIPI.
 |
PICHA YA KUMBUKUMBU MUHIMU |
NAKAENDA KUTEMBELEA KIJIJI CHA KAOLE
 |
KABURI LA SHARIFA, WENGI HUAMINI WAKIOMBA KITU HAPA NA KUWEKA SADAKA ZAO BASI HUFANIKIWA HIVYO NI SWALA LA IMANI YA MTU BINAFSI |
 |
KABURI LA WAPENDANAO (MUME NA MKE WALIZIKWA PAMOJA HAPA BAADA YA KUKUTWA UFUKWENI MWA BAHARI WAKIWA WAMEKUMBATIANA KATIKA HALI YA UMAUTI ) |
 |
KILA MTU AKIJARIBU KUPATA PICHA YA KUMBUKUMBU KWENYE HAYO MAKABURI |
 |
NIKAUSHUHUDIA ULEEE MBUYU WENYE MIAKA ZAIDI YA 800, KWA MBALI UTAONA WADADA WENGINE WAKIPATA PICHA YA MTI HUO NI WANACHUO WA KIU (KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY) |
BAADA YA HAPO TUKAELELEA ZETU NGOME KONGWE
 |
SEHEMU YA KUTOKEA KWA NYUMA |
 |
NGOME YA MJERUMANI IONEKANAVYO KWA SASA |
 |
VYUMBA VYA JUU NA CHINI |
 |
NGAZI ZA MJENGO |
 |
MUONEKANO WA CHINI |
 |
MOJA YA ROOM ZILIZOTUMIKA |
 |
WALIPO NYONGEA WAZEE WETU |
 |
PICHA YA KUMBUKUMBU |
 |
NIKAFIKA MSALABANI NA KUPATA PICHA YA KUMBUKUMBU |
 |
KANISANI |
 |
NIKAMALIZIA NA KUINGIA MAKUMBUSHO, NA HII NDIO KANDAMBILI WALIZOVAA ENZI HIZO |
KUNA VITU VINGI VIZURI VYA KUJIFUNZA BAGAMOYO SIWEZI MALIZA VYOTE HAPA, KUFAIDI ZAIDI PITIA BAGAMOYO.
No comments:
Post a Comment