Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe
na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema hivi sasa bado wanahojiwa na
Polisi baada ya Kujisalimisha kutokana na Maagizo ya Polisi ya kutaka
kuwahoji kuhusiana na Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha. Baada ya
Mohojiano hayo wanatarajia kushiriki kuaga mwili wa Marehemu Judith
Moshi aliyekuwa Mwenyekiti wa Bawacha Arusha, anayeagwa leo na kutarajia
kuzikwa mjini Arusha leo.
SOURCE: Chadema Social Media
No comments:
Post a Comment