Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By | Blog Gadgets Via Blogger Widgets

Tuesday, July 2, 2013

MTOTO HUYU MWENYE UMRI UNAOKADIRIWA KUWA WA MIEZI SITA AMEOKWOTWA ENEO LA BAMAGA

MTOTO ALIYEOKOTWA


KAKA ALIYEMUOKOTA MTOTO HUYO ASUBUHI YA LEO
Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi sita ameokotwa leo asubuhi eneo la bamaga, kaka aliyeokota mtoto huyo amesema kwamba wakati anatoka kwenda mazoezi asubuhi alisikia sauti ya mtoto eneo hilo la bamaga ndipo aliposogea na kukuta mtoto ametelekezwa bila ya nguo yoyote. Aliamua kumchukua na kuripoti kituo cha polisi cha Mabatini, yeyote anayemfahamu mzazi/ndugu wa mtoto huyo atoe taarifa kituo cha polisi kilichopo karibu au Mabatini.

Note: Nimeguswa na taarifa hii, nikaona si vibaya kushare jamani ukiamua kuzaa ujue na kulea na sio kwenda kutupa mtoto barabarani. Mwenye kujua mdada aliyekuwa na ujauzito na akajifungua kisha hamumuoni mtoto mkamateni mumpleleke police huenda ndio mtoto wake huyu.

SOURCE: ITV HABARI ZA SAA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...