| HAPPY THEM, SASA HIVI NI MKE NA MUME |
| PADRI ALIYEFUNGISHA NDOA |
| MATRON WA BI HARUSI |
| AKIMTUNDIKA PINGU MKEWE |
| AKIMTUNDIKA PINGU MME WAKE |
| AKISAISI CHETI CHA NDOA |
| NAE AKAANGUSHA SAINI |
| SHAHIDI MUHIMU KWA KUSAIN, BESTIMAN AKIDONDOSHA YAKE |
| MATRON NAYE HAKUWA NYUMA |
| PADRI AKAKANDAMIZA YAKE |
| POKEA NONDO ZAKO, AKIKABIDHI CHETI KWA BWANA HARUSI |
| AKIKABIDHI CHETI KWA BI. HARUSI |
| WAKIONYESHA NONDO ZAO |
| WAKIONDOKA KANISANI KWA SURA ZA FURAHA |
| PICHA YA KUMBUKUMBU NA WAPAMBE |
| WITH BRIDE'S MAIDS |
| NA WAZAZI |
| BI HARUSI NA WAPAMBE WAKE, LOVE THEIR DRESSES SIMPLE BUT SO NICE |
KUTOKA MAPOCHISIDE:
KAMA UNAPICHA ZA SHEREHE YAKO AU NDUGU YAKO (KITCHEN PARTY, SEDOFF, HARUSI, BIRTHDAY N.K) TUTUMIE KUPITIA " suma.reuben@gmail.com" au wasiliana nasi kwa namba 0653674944 TUTARUSHA HEWANI TUKIO LAKO BURE KABISA BILA GHARAMA YOYOTE.


No comments:
Post a Comment