Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By | Blog Gadgets Via Blogger Widgets

Sunday, May 5, 2013

TUKIO LA MLIPUKO WA BOMU HUKO ARUSHA KATIKA PICHA



Eneo mlipuko ulipotokea


Wananchi katika eneo la tukio

Eneo lenye utepe ndipo kitu hicho kinachodhaniwa kuwa bomu kilipoangukia. Pichani unaweza kuona wigi za kichwani na viatu vya waumini vikiwa vimesambaa baada ya wenyewe kuviacha, miongoni mwao wakiwa ni majeruhi.

Viongozi wa dini wakitoa taarifa kwa waandishi


Picha kwa hisani ya jumamtanda.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...