Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By | Blog Gadgets Via Blogger Widgets

Wednesday, July 10, 2013

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO YA UFUNDI 2013 - WASICHANA NA WAVULANA


 WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO UFUNDI NA CHUO CHA 'MANEGEMENT' NA MAENDELEO YA MAJI
Wanafunzi Kuripoti katika shule walizopangwa
 Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai. Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika. Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu wa shule wameelekezwa kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na kutoa taarifa kwa uongozi wa halmashauri husika kuhusu upungufu wa walimu uliopo. Kwa nafasi hii, ninaagiza wanafunzi wote kuripoti katika shule walizopangwa tarehe 29 Julai, 2013. Kama kutakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuhamia shule nyingine, uhamisho wa kawaida utafanywa baada ya kuripoti shuleni kupitia kwa mkuu wa shule husika, Mkurugenzi wa Halmashuri/Manispaa na Katibu Tawala wa Mkoa. (Wizara haitabadilisha shule walizopangwa wanafunzi)

Wanaporipoti wanatakiwa kuwa na:
   Original Result slip na Living Cerificate

KUONA ORODHA YA WASICHANA BOFYA HAPA NA WAVULANA BOFYA HAPA

ANGALIZO: IKIGOMA ITAKUPA HII TAARIFA "Database Error: Unable to connect to the database:Could not connect to MySQL" REFRESH PAGE HADI IFUNGUE.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...