Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below

Powered By | Blog Gadgets Via Blogger Widgets

Thursday, May 9, 2013

ROONEY KUTUA BAYERN KWA PAUNI MIL. 30


Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney ameelezea nia yake ya kwenda kukipiga kwenye klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani. Mabingwa hao wa ujerumani wapo mbioni kukamilisha mkataba wa pauni milioni 30 na mshindi huyo wa zamani wa kiatu cha dhahabu wa klabu hiyo ya Old Trafoford na kwamba nyota huyo alishawaeleza wenzake jinsi anavyotamani kwenda kukipiga kwenye klabu hiyo majira haya ya joto, Daily Mail limeripoti.

SOURCE: Bingwa Tanzania

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...